Get in Touch

Definition List

Pages

Translate

Tuesday, November 26, 2019

Embarrassed by Brexit and Impeachment?UK,US Embassies In Dar Set To Interfear On Internal Tanzania Affairs

By Special Correspondent, NAIROBI

Diplomatic sources in Dar es Salaam have confirmed to Nairobi BuzzNews that US, UK and Canadian Embassies are desperate on many fronts and they may hit back anytime should Dar not interfere strategically. 

While the UK home situation, the Brexit cinderera, calls into question the Kingdom's future; the US impeachment inquiry against President Trump and recent appointment of a US Ambassador to Dar are both toxic substances enough to send the current Acting Ambassador very mad on everything before her. She is confused and bitter.

On the other front, their close ally, Canadian Ambassador faced the moment of her life recently when she was summoned by Tanzanian Minister of Foreign Affairs over a Tanzanian plane seized in Canada.

Desperate enough, and working with some local media and activists, the triple alliance, is on the verge to issue a statement on the just ended Tanzanian elections in an in futile last resort to fight for their beloved opposition party, Chadema.

"Sources within the diplomatic corridors in Dar confirmed that US and Canada were mainly behind the initial copy as British Ambassador retreats for some consultation with home Foreign Office," said a source tired of the recurring evil plans by the three.

"They are bitter enough. They dished out dubious money to sabotage the local elections to their surprise on how things turned and went asunder. The plan is now: give the peacefully ended election a bad name, and hang the image of the country," confirms another diplomatic staff tired of the three's espionage activities in a foreign land.

Wednesday, July 17, 2019

NGELEJA HIVI UNAKWAMA WAPI BROTHER? WEWE NI WA KUINGIZWA MKENGE NA MAMLUKI NAPE?


Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja

Unakwama wapi brother? Labda ndio swali la kuanza nalo wakati huu mfululizo wa video zilizoleak kutoka kwa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye unavyozidi kuwaumbua vigogo.

Safari hii Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja amenaswa akiteta na Nape kuhusu masuala ya chama na Serikali.

Ngeleja anasikika akiunga mkono waraka wa Kinana na Makamba uliochafua hali ya hewa nchini.

Ndio maana nauliza tena unakwama wapi brother Ngeleja?

Wewe si ndio uliaminiwa na nchi ukiwa mmoja wa vijana wadogo lakini ukapanda hadi kuwa Waziri tena wa Wizara nyeti kama ya Nishati na Madini?

Si ni wewe huyu huyu ukautumia Uwaziri wako kishamba sana ukijinufaisha na kuingia mikataba ya kipuuzi na wawekezaji wa nishati na madini?

Nakumbuka hata sakata la Dowans umo na uliitetea sana kisha ikaja Escrow umo; ambapo ulichota milioni 42. Umesahau?

Katika mazingira tata na ili kujiokoa na Segerea ghafla miaka miwili iliyopita ukatangaza kurejesha fedha za Escrow (baada ya kuzizungusha kibiashara na kuzalisha faida);

Yote haya Serikali tukufu ya Chama cha Mapinduzi imekusitiri haujaenda Segerea.

Leo unakwama wapi hadi uungane na wasaliti wa aina ya Nape kusaliti juhudi za nchi?

Brother unakwama wapi?Je, ulikuwa unajipendeleza tu kwa Nape na Kinana au au ndio kusema nawe umetumwa na mafisadi waliokuwa wanakutumikisha ukiwa Waziri wa Nishati na Madini?

Brother usifeli kirahisi na kizembe hivyo Nape ana faili lake na wewe unafaili lako.

Kila mmoja apambane na hali yake; pambana kuwa mtu wa maana na acha kupambana kuwa mpumbavu.

Yani wewe Ngeleja ni mtu wa kuwa kwenye mipango ya kutala kuipindua Serikali ya Awamu ya Tano?
Kweli?

Yaani ndio umefika hapo brother, simple tu na kizembe zembe hivyo? Dah!

Alamsiki.

Sunday, May 19, 2019

Open Letter To The East African: Sensationalism Is Not Journalism

By Nurdin Kijja, Stockhom, Sweden

JOURNALISM is not a hopeless profession. It is not supposed to be a weapon in the hands of the WEST against the developing states and now Africa against Africa but a true profession, a responsible profession to serve the people not neo colonialism.

It is now clear why the American President Donald Trump was up in arms against fake news and irresponsible journalism in the US. It is the same yardstick that measures professionalism.

Accountability is a great word in journalism or social communication; no wonder in Swansea, Wales in the United Kingdom, Liam Stacey was jailed for mocking a footballer, Fabrice Muamba, on twitter, after he collapsed during a match.

The Swansea University biology undergraduate was quickly tracked down and arrested. He admitted inciting racial comments and the Swansea Magistrate jailed him for 56 days.

The recent online article by the East African online has irked my conscious. The article: https://www.theeastafrican.co.ke/news/ea/Human-and-civil-rights-bodies-seek-UN-action-on-Tanzania-crisis/4552908-5120922-mtb1rdz/index.html makes a reference to “Dar crisis” which is to me a meaningless inference.

Living abroad does not mean we can’t follow what is really happening back home. Referring to Tanzania as a “crisis” area simply because there are some (few out of hundreds) organized NGOs complaining on some of the issues in the country is not ethical and accountable journalism.  

Such propaganda like reporting once sanctioned, you will see lots of noises. You take action against irresponsibility like this you will see several foreign Ambassadors rush to social media platforms to criticize the governments for exercising their sovereignty to lawfully reward their licensed organs for their misdeeds.  

When the UK government jailed Stacey in Swansea I cannot remember any African envoy criticizing such a move calculated at enforcing responsibilities among the citizens in online interactions. We didn’t see the Ambassadors complain against some of their own European countries where several journalists are in jail as we speak (Read https://europeanjournalists.org/journalists-in-jail-europe/).

I’m reading the story above; you fill the mood of the editor. It is clear that the editor was feeling happy to announce a crisis that is nowhere in another country, and I can bet it might turn he or she has never set a foot in Tanzania.

This provoked me to critically look at how the East African newspaper covers not only Tanzania but East Africa and Africa as a whole. I have no aorta of doubt that this paper doesn’t save the region. It’s another platform to distort the African true path to development.  

One of the pillars of journalism is reporting the truth. Most stories on the East African a good analysis so to say, but they save no truth. Truth, balance and objectivity make a story fair.

This means fairness a virtue in any decent journalism. How could a newspaper or online media declare another country is in “crisis,” without any details, just because some people complained over some internal issues?

Let’s pray for our journalism.

SGR KENYA VS SGR TANZANIA; ZITTO KABWE, WACHINA NA KISA CHA SULTAN MANGUNGO-PART II

SGR KENYA VS SGR TANZANIA; ZITTO KABWE, WACHINA NA KISA CHA SULTAN MANGUNGO-PART II

Na Mwamba wa Kaskazini, Ngarenaro, Arusha.

KATIKA andiko langu la awali (ambalo cha ajabu tabia za Kichina zikaendelea ambapo wengi waliliiba na kuondoa jina na kujifanya lao), nilieleza umuhimu wa umakini katika miradi ya ubia au mikopo ya Wachina.

Nilitoa mifano ya kihistoria ya tulikotoka na Wachina na tulipo sasa.

Nashukuru, pamoja na wengi kuonesha tabia za Kichina katika andiko hilo (nikimaanisha wizi wizi wa kazi za watu), mada hiyo sasa imeeleweka na wananchi sasa wameipa Serikali fursa ya kujadiliana na Wachina kiumakini zaidi.

Katika makala ile nilitoa mifano ya nchi zilizopigwa kwa kuingia kichwa kichwa kwa Wachina hawa wa zama hizi.

Nilitoa mfano wa Malaysia ambako wamefukuziliwa mbali katika mradi wa reli ya kisasa, nikatoa mfano wa Wachina walivyoitwaa Bandari ya Sri Lanka na wenzetu wa Djibouti nao juzi tu bendera za China zimepandishwa kwenye Bandari yao. Imekwenda.

Sasa wapo walioniuliza mbona nimetoa mifano ya mbali na kuacha ya karibu hapa katika nchi jirani ya Kenya.

Ngoja hawa nao niwaondolee kiu. Leo tunaangalia jinsi wenzetu walivyopigwa na Wachina katika mradi wa SGR yao kwa ushamba ule ule wa Sultani Mangungo wa Msovero kupewa zawadi za shanga na vikombe vya kahawa akauza nchi.

Katika zama hizi tamathali ya vipande vya shanga na vikombe vya kahawa inakuja kwa njia nyingi. Utasikia, ili watu kuhalalisha kukupiga vizuri unatajiwa vislogani vitamu ili uingine mkenge kama tunavyomsikia Zitto Kabwe na Mzee wangu Ndugai wakidai “tutakuwa Dubai ya Afrika” au ni “mradi  mkubwa kuliko yote” n.k.

#SGR YA KENYA VS YA TANZANIA

##UFADHILI NA GHARAMA ZA MRADI

Tuangalie sasa kwa kina yaliyowakuta Wakenya kwa kuingia kwa Mchina kichwa kichwa. Kwanza Kenya wamepewa mkopo Kutoka Serikali ya China wenye riba kubwa sana. Mkopo wenyewe bila riba unafika TZS Trilioni 7.

Riba ya mkopo huo inaelezwa kuwa juu kwa asilimia 3.6 zaidi ya kiwango kilichopendekezwa na taasisi ya “London Interbank Offered Rate (Libor)” kwa Mei, 2014 wakati Kenya iliposaini mkopo.

Na tayari mwaka huu hata wakati ambapo bado SGR iko chini ya Wachina, Serikali ya Kenya tayari ina mzigo wa kutakiwa kuanza kulipa mkopo huo unaotakiwa kulipwa ndani ya miaka 15 tangu Mei, 2014, baada ya kipindi cha huruma (grace period) cha miaka mitano kumalizika.

Hivyo kwa ujumla mradi huo wameujenga kwa thamani halisi ya zaidi ya trilioni 8.

Sisi tunajenga SGR yetu (ambayo ni ndefu zaidi na ya spidi zaidi kuliko ya Kenya na ya Kenya ikiwa ya dizeli sisi ya umeme) bado sisi tunajenga kwa trilioni 7.2 fedha zetu za ndani na hatutadaiwa na mtu wala kulipa riba ya mtu wala kupewa masharti na mtu.

##UBORA WA MRADI

Mradi wa Kenya uliozinduliwa kwa mbwembwe na Rais Kenyatta ni wa treni za dizeli hivyo hata treni zake zitakuwa si za kasi kama ilivyo treni ya SGR yetu itakayokuwa ya kasi zaidi na ya umeme.

Spidi ya juu ya treni ya abiria Kenya itakuwa ni km 120 kwa saa wakati Tanzania ni km 160 kwa saa.

Mzigo Kenya ni km 60 mpaka 80 kwa saa wakati Tanzania ni km 120 kwa saa.

##UREFU WA MRADI

Hapa ndio mtu ataona upigaji wa hatari. Pamoja na mambo mengine tuliyoyaona hapo juu, mradi wa Tanzania kwa kipande cha Dar es Salaam hadi Dodoma unaojengwa na wataalamu kutoka Uturuki na Ureno utakuwa zaidi ya km 540 (Dar-Moro kilometa 205 na Moro Dododma km 336 za ujenzi).

Lakini Kenya ambao mradi wao umejengwa na Wachina una eneo la ujenzi ni km 472 tu.
Hata ukiangalia idadi ya vituo yaani stesheni, Kenya wamejengewa vituo vya kusimama treni sita 6 tu kati ya Nairobi hadi Mombasa tena havina standard kabisa wakati Tanzania Dar mpaka Moro tu balaa.

Kwa Dar mpaka Moro zinajengwa jumla ya stesheni za kisasa 14 ikiwemo ya Kwala ambacho ni kituo kikubwa cha treni kupishana lakini pia na majengo makubwa ya steheni za Dar, Moro na Dodoma. Aidha, kutakuwa na kituo kikubwa cha kubadilishana treni pale Ihumwa, Dodoma.

##UENDESHAJI

Mradi wa Tanzania utakapokamilika utaendeshwa na Watanzania wenyewe na kama kuna mtaalamu wa nje ya nchi atalazimika kuajiriwa basi itakuwa kwa dharura tu lakini mradi utakuwa chini ya Watanzania wenyewe ambao wameshaanza kupatiwa mafunzo. Kwa upande wa Kenya nikuhakikishie tu katika eneo hili kuna aibu kubwa inatokea huko.

Ni aibu ya mwaka na sitasema sana katika eneo hili, nitakuachia tu link hii ujisomee mwenyewe yanayotokea. Ni hatari, tafadhali tenga muda, andaa kamusi ujionee utumbo wa aina yake: https://www.standardmedia.co.ke/article/2001287119/exclusive-behind-the-sgr-walls

Lakini nikwambie kidogo tu kwa huruma na huzuni kabisa, juzi ndio Wakenya wamejua ukweli baada ya kuona Wachina zaidi ya 400 wamebaki wakiwa wameajiriwa katika uendeshaji wa reli na treni ya SGR.

Baada ya kuhoji zaidi ndipo sasa imejulikana kwamba (labda kuna mtu alisinzia au alipelekwa shoping pale Silk Street) leo watu ndio wamejua eti mkataba unasema pamoja na Kenya kukopa na wanalipa deni hilo, bado Wachina wataisimamia/kuimiliki/kuiendesha reli kwa miaka 10!

Katika kipindi hiki cha umiliki/uendeshaji (ita vyovyote upendavyo), yanayoendelea ndani ya SGR ya Kenya, nimekupa link hapo juu lakini ni yale yale ambao wamepata kuishi na wawekezaji wa Kichina wamejionea; ubaguzi, uchafu, watu kuvuta masigara kila kona, watu weusi kutengwa na zaidi mifumo yote ya fedha na uendeshaji treni kuwa katika Kichina na mengine dah hata kuyataja aibu. Soma mwenyewe bana.

Ndio maana nasema hata iwe vipi Baba Magufuli na wataalamu wako endeleeni kutulia kama kawaida yenu na simamieni maslahi ya Taifa. Nchi hii iliwasubiri sana, mmefika, tafadhali endeleeni kutusimamia, kutuongoza na kutuletea mageuzi.

Hao wakina Sultani Zitto (Mangungo) Kabwe, waacheni tu wapige kelele, wahenga walishatufariji kuwa kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.

Alamsiki.

Ni Mimi Mwamba (sema mara 3) wa Kaskazini. Nawatakia ndugu zetu waislamu swaumu njema

Friday, January 25, 2019

Tuhuma za Zitto na Funzo la Bruce Lee, Lissu na Julius Caesar

ZITTO KABWE

Tuhuma za Zitto na Funzo la Bruce Lee, Lissu na Julius Caesar
Na Munir Abubakar, Dar es Salaam
HIVI karibuni nimemsikia Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, akiibuka na tuhuma za ajabu kwa mwanasiasa wa aina yake kuzitoa; kwamba ametishiwa maisha akiwa Bungeni tena akituhumu watu wa Idara muhimu katika kulinda usalama wa nchi hii.

Kauli ya Zitto si ya kwanza kwa wanaofuatilia mambo mengi anayoyaandika kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii. Mara kadhaa amekuwa akiibuka na kuzusha madai kama hayo akidai kuna watu wanapanga njama za kumuua na mara zote akiitaja Serikali.

Kama madai yake hayo yanaukweli au ni “kiki” za kisiasa ni suala linalohitaji utafiti wa kina ambao aghlabu makala haya kwa sasa hayawezi kufikia hitimisho, lakini kama Taifa yako mambo lazima tuungane kuyakataa; hasa tabia hii mpya ya kila mwanasiasa kuibuka tu na madai ya jumla jumla kuwa Serikali au vyombo vyake vinatak kumdhuru.

Niseme tu, kauli ya Zitto, ambaye inadaiwa amelifikisha suala hilo la jinai kwa Spika wa Bunge, badala ya Polisi, ni mwendelezo wa staili mpya hapa nchini ya wanasiasa wanaoonekana kuishiwa hoja za kisiasa kukimbilia kudai wanatishiwa na Serikali au vyombo vyake.

Haraka haraka niliposikia kauli ya sasa ya Zitto na anavyoendelea kulishadidia suala hilo mitandaoni, nikakumbuka hadithi nyingi juu ya yaliyowafika wanasiasa wengi duniani huko nyuma katika maisha yao ya kisiasa ambapo madhara mengi waliyoyapata ilikuja kubainika kuwa hayahusiani ni kile wengi walichoamini au kuaminishwa awali.

Nasisitiza sikatai kuwa Zitto anaweza kutishiwa na taasisi au mtu binafsi katika Serikali, hilo ni suala la mahusiano na ushahidi, lakini nasisitiza pia tusikatae kuwa Zitto huyo huyo anaweza kuwa na “bifu” mbaya zaidi zinazohatarisha maisha yake na makundi mengine ya watu wasio Serikali, lakini kisiasa, kila siku akawa anaonesha adui yake ni Serikali tu.

Katika kuyaelewa anayoyaleta Zitto hapa nchini hivi sasa, nimelazimika kuirejea upya fasihi niliyopata kuisoma zamani ya mwanahistoa za masuala ya madhara ambayo viongozi mbalimbali wa kisiasa wamekuwa wakiyapata J. Bowyer Bell, aliyeandika tasnifu Assassin: Theory and Practice of Political Violence. 1st Edition.”

Tasnifu hii inatusaidia kuyaelewa madhara mbalimbali ambayo yamepata kuwakumba wanasiasa duniani na sababu tofauti ambazo wakati fulani, baada ya uchunguzi, ilibainika kuwa ni tofauti kabisa na sababu ambazo watu waliamini au waliaminishwa kama Zitto anavyofanya hapa nchini.

Ni ukweli uliodhahiri kuwa Zitto ana maadui wengi na wanajulikana. Ni vyema akaishi kwa kujitathmini maisha yake badala ya kila mara kulaumu Serikali. Mfano, bado usaliti wake kwa Chadema umeacha alama isiyofutika, kuna makampuni/nchi mbalimbali ambazo amekuwa anawatumikia kisiasa na kuna wakati anabadilika na kuibua bifu lakini kijamii, anajulikana, niseme tu kuwaumiza mabinti wengi.
Nimetaja baadhi ya “facts” tu zinazoweza kutusaidia kuyaelewa matishio aliyonayo Zitto hasa wakati huu pia yeye na baadhi ya wanasiasa wa upinzani wanapogongana kuweka nia za kuwania Urais, kwa sababu bahati mbaya yeye bado anatangaza tu kuwa adui wake ni Serikali.

Labda tumkumbushe Bw. Zitto anachokifanya leo hapa Tanzania kimeshatoke katika kioo halisi cha maisha ya wanasiasa na watu wengine wengi mashuhuri ambapo kile ninachokisema kuwa mtu anaweza kuwa na maadui wengi na yeyote kati yao akamdhuru kilisadifu. Nitatoa mifano michache.

Kama Zitto anavyotaka kutuaminisha, akiwa amewaudhi Waislamu wa India na kila mtu akiwa anajua adui mkubwa wa Gandhi yangekuwa makundi yenye msimamo mkali wa kiislamu, siku ya Januari 30, 1948 alipouawa Mahatma Gandhi wa India na kijana wa dhehebu lake la Kihindu aitwae, Nathuram Vinayak Godse, ndipo watu walipopigwa na butwaa!

Hadithi ni kama hiyo ya Zitto kwa mtaalamu wa filamu za Kung Fu na mwasisi wa mtindo wa mapigano wa Jeet Kune Du, Bruce Lee ambaye kila mmoja alijua maadui zake ni wahafidhina wa Kichina waliokuwa hawataki afundishe sanaa hiyo ya Kichina kwa Wamarekani.

Lakini kumbe, tofauti na adui huyo ambaye hata Bruce Lee alikuwa akimtangaza hadharani, adui halisi aliyekuja kuhitimisha maisha yake akabainika ni afya yake, tabia yake ya kutopumzika na mazoezi ya nguvu. Ndio maana mabingwa wote wa tiba wakathibitisdha kuwa Julai 20, 1973 alipofariki usingizini, kilikuwa kifo kilichotokana na madhara hayo katika ubongo na dawa alizokunwa.
Lakini yapo pia mafunzo kuhusu mauaji ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Israeli Yitzhaki Rabin ambaye maadui wanaoisaka roho yake wangeweza kuwa Wapalestina waliokuwa wanaona wanaonewa lakini na wanasiasa wenzake wa chama cha upinzani cha Likud.

Lakini siku anauawa Novemba 4, 1995 na kijana wa Kiyahudi, Yigal Amir, ndipo dunia ikajua tu kwamba kumbe mitazamo tofauti ya kisiasa na siasa za ushindani zinaweza kumtengenezea mwanasiasa maadui miongoni mwa vijana na watu wa kawaida.

Tunajifunza pia kutoka kifo cha mtawala wa zamani wa Roma Julius Caesar, ambaye baada ya kujikinga kwa muda mrefu na husda za maadui zake wa nje ya Dola ya Rumi aliyokuwa ameijenga kwa mabavu, ni washirika wake wa ndani kisiasa (maseneta akiwemo kijana wake Brutus) waliosshiriki kumuua kwa kumchoma visu 23 akiwa kwenye jumba la Maonesho la Pompey (Pompey Theatre mnamo mwaka 44BC).

Hoja yangu hapa ni kwamba Zitto aache kuudanganya umma kwanza kwa kila mara kuonesha kuwa ana adui mmoja tu; Serikali ili siku maadui wengine wakimdhuru au akinusurika na madhara hayo Serikali ichafuke. Hii ni kiki ya kijinga sana ya kisiasa.

Wakati mpaka leo wengi bado wanatafakari ni nani hasa amehusika kumdhuru Tundu Lissu, ninachokiona, na ambacho naamini hata wachunguzi wa suala la Lissu inawachukua muda ni tabia hii hii ya wanasiasa wetu nchini kuficha madhambi au maadui zao wengine na kuuandaa umma kujua adui wao ni mmoja tu; Serikali.

Kama Zitto anavyotamani umma umwanini, tumeona katika sakata la Tundu Lissu naye wakati huo na hata sasa amejaribu sana kuuhadaa umma ionekane kama vile Serikali ndiyo adui wake pekee ili linapomtokea lolote, Serikali ichafuke.

Kama ambavyo leo tunamuona Zitto anaanza kwa mara kadhaa kurudia rudia kuwa eti kuna maafisa wa Serikali wanapanga mkudhuru, Lissu naye alianza kwa lawama hizo hizo, mara akitoa namba za gari aliyodai inamfuatilia na kudai ni la Serikali mara kaamka tu kitandani Nairobi hata akiwa hajui tarehe ya siku hiyo akaanza kuropoka ni Serikali.

Nafahamu, kwa kuwa wote nimebahatika kuwa karibu na familia zote, wote, Zitto na Lissu, wanamatishio mengi kwa maadui zake kadhaa na najua wataalamu wa Serikali wenye uwezo wa kuona zaidi ya tunayoyaona, wameshapata kuwaonya wachukue hatua au wapewe msaada ulinzi, wamekuwa wakikataa.

Ni kwa sadfa au bahati mbaya tena, wanasiasa hawa wawili, pamoja na kukataa ushauri au ofa ya kupatiwa msaada wa ulinzi, kwa mujibu wa duru za familia zao, na huku wakijua hatari walizonazo kutokana na njama za maadui zao, wamekuwa na kiburi cha kisiasa cha kuendelea kuitusi na kuituhumu Serikali.

Mtu angeweza kujiuliza kwa nini Zitto bado anaona kuna faida kuilaumu Serikali wakati anajua matisho ya sababu nyingine aliyonayo? Jibu la utafiti wangu ni kwamba wanaomjua kisiasa Zitto Kabwe watakubaliana nami kuwa ni kweli sio yule wa zama za Buzwagi.

Amechuja sana na kama kuna jambo amebaki nalo kwa sasa baada ya zile zama za kuibua ufisadi mkubwa mkubwa na kwa ushahidi mzito kwisha, basi ni kuokoteza okoteza hoja walau aonekane bado yupo katika siasa. Hivyo anahaha kusaka kiki za kisiasa.

Yule Zitto Kabwe wa Daruso na Zitto Kabwe wa Buzwagi, mwanasiasa kijana aliyekuwa upande wa wanyonge na upande wa maendeleo sio wa sasa. Mazingira na hali halisi vimemfanya kwa sasa alazimike kuwa upande wa mabeberu akiwaunga mkono katika mambo mbalimbali. Hivyo maisha yake nchini yamebaki ya kuungaunga kisiasa. Kuitaja Serikali kuwa inataka kukudhuru yeye anaona kunalipa!

Nimesema hapo awali kuwa kuna kauli anazitoa kwa sasa Zitto zinafikirisha na ni vyema sisi Watanzania tukazitafakari kwa kina. Zitto anatamani kutembelea katika nadharia ya Lissu; kwamba kwanza aanze kuonesha huruma kuwa kuna watu wanataka kumdhuru, ili siku likimtokea kweli, iwe kwa sababu yoyote, ilaumiwe Serikali na kila mtu awe upande wake.

Kama alivyoanza Lissu, sasa hivi unamuona Zitto naye mara kwa mara anatamka kuwa “amesikia” mara “ameelezwa” kuwa kuna mipango ya maafisa wa Serikali kumdhuru. Hadithi hizi zinapita mule mule kwenye mikono ya Lissu, kwenye dhana ya Bruce Lee na kwenye akili na maisha ya wafuasi wa Gandhi na wale wa Rabin.

Hapa nisipoteze, ninachokiona hakuna cha Usalama wa Taifa wala nini, Zitto anakoleza stori kuhalalisha kiki yake ya kisiasa ili ikitokea akajidhuru, kudhuriwa na maadui zake wengine au lolote likamtokea moja kwa moja ailaumu Serikali kama njia ya kupanda chati tena.

Nionavyo, kwa sasa hatupaswi kuendelea kulea usanii wa aina hii, niwaombe tu Watanzania tukatae majaribio yoyote yenye lengo la kisiasa kuipaka matope nchi yetu, tukatae wanasiasa hawa ambao wako tayari kudhurika au kutunga kudhurika au kuficha madhambi waliyonayo ambayo yanaweza kuwa chanzo cha kudhurika kwao ilimradi tu ikitokea waichafue nchi yetu. Tukatae. Tusikubali. 

Monday, January 21, 2019

Tundu Lissu: Paid To Protect or Protecting the Pay?


 By Staff Reporter, Dar es Salaam
TUNDU LISSU-MP


It is now obvious that a Tanzanian and Member of the Parliament Tundu Lissu has been financed by western countries to make tours in western media, parliaments and diplomatic offices to advocate for same sex relationship practices to turn Tanzania into a barren land, among other prescribed agenda.   
Same sex relationship is a crime in Tanzania and perpetrators may face up to 30 years in jail, according to the Sexual Offences Special Provision Act (1998) and the Penal Code. This makes the behaviour to be regarded as a moral decay in Tanzania.
Speaking during the BBC HARD talk interview yesterday, Lissu who is aspiring to run for the President post in 2020 through Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) said, in a surprising turn of events, that if elected to be the President of Tanzania he would de-legislate all laws which are against same sex relationships.

Hon.Lissu’s stance on same sex relationship reflects the stance of CHADEMA that once elected to be in power will turn Tanzania into a barren land through destructed from God by allowing such immoral practices. 
It is obvious that Hon. Lissu’s stance on the same sex relationship that also reflects the stance of CHADEMA will anger all Tanzanians and religious leaders who have been preaching against it after western powers had started to pressure Tanzania to allow such stupid and immoral behaviours.
During last year’s Xmas Mass Cerebrations Christian denominations in Tanzania added their voices in condemning immoral acts in society, particularly homosexuality, abortions and adultery, which are on the rise, some of them being openly promoted by western countries.
The condemnations by Christian leaders on Christmas Mass homilies, came just a month before after the Tanzania’s Chief Sheikh, Mufti Abubakar Zubeiry bin Ally, spoke against the vices during the Mawlid celebrations to commemorate the birthday of Prophet Muhammad (Peace be Upon Him)
It also comes after the Parliament of the European Union issued a resolution on December 12, 2018, in which among other concealed agendas, criticized the government of Tanzania for what it described as “victimization” of lesbian, gay, bisexual, and transgender (LGBT) persons.

The EU Parliament shamelessly remarked in the lengthy resolution that; “it is worried by the deteriorating situation for LGBTI persons in Tanzania and denounces all incitement to hatred and violence on grounds of sexual orientation”.

In a sharp contrast to the appalling position by the western countries, clerics from across the country cautioned on the sharp resurfacing of the new trend of colonialism in the name of “protecting human rights” of LGBT, calling for Tanzanians to stand bold and firm against the threat.

Bishops Renatus Nkwande of the Roman Catholic and Philip Mapuja of the Africa Inland Church Tanzania (AICT) in Mwanza region emphasized that the nation should be careful with the trend calling for the leaders to stand firm and preserve national values.

At Buganda Parish in Mwanza, Bishop Nkwande pointed that neocolonialism through homosexuality should be condemned by the people of God and warned the war against the evil deeds should be fought jointly.

"Today acts of adultery and homosexuality are an order of the day and to make it worse they are trumpeted into our countries. 

“We are now being driven back into the lives of Cain and Abel and in fact the fresh generation of Cain the great sinner is here with us. Let us fight hard in restoration of our values," he stated.

Bishop Nkwande, who is also a spiritual caretaker of the Mwanza Archdiocese challenged the good people to pray for the nation and for President John Magufuli in a special way for he can lead the fight against all the evils coming into the country under the influence of some European countries.

Equally, the Head of Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT) for East and Coastal Diocese, Bishop Alex Malasusa, was categorical that same sex marriages should never be embraced in the shadow of human rights as the practice is completely against the Holy Scripture.

Bishop Malasusa had warned that believers must look unto God and obey the scripture's doctrine than human deception when addressing the issue of same sex marriages.
"There are claims are that same sex marriages are part of human rights, what about God's rights? Which one should overrule,” he queried.
Citing the bible Dr Malasusa said during creation of man God created man and said but when he noted that it was not good for a man to be alone he created his helper who happened to be woman.

Speaking during the Mawlid celebrations last month, Grand Mufti of Tanzania Abubakar Zubeir stressed that; “Neither holly religious books nor the laws of Tanzania accept such terrible acts. 

“Religious leaders from all denominations should come out and speak out strongly against the vices,” the leading Muslim Cleric in Tanzania, stressed in his lecture.

As narrated in all Holy Religious books, Sodom and Gomorrah through a Divine Judgment by God were completely consumed by fire and brimstone due to acts of homosexuality.

Same sex relationship is a crime in Tanzania and perpetrators may face up to 30 years in jail, according to the Sexual Offences Special Provision Act (1998) and the Penal Code.

The so-called LGBT rights have been challenged in a number of African countries, including Mauritania, Sudan, Somalia and parts of Nigeria. Worldwide, more than 80 countries have penalized it.

Good enough, a European Court had recently ruled that gay marriages, now rampant in Europe, is not a human right, but still many European countries are pushing aid as a weapon to force their own culture into others.
Looking at events and how things unfold, I had to ask whether Tundu Lissu is advocating for what he believes as a Christian or a lawyer or he is just protecting the pay? Making hospital bill and European tour financiers happy. Is this patriotism?